Waziri Bashungwa awataka Wasanii kuachana na Malumbano

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wasanii wa Tanzania kutumia muda wao vizuri na kuachana na malumbano,  ili kupata muda wa kutengeneza kazi zenye ubora na mvuto kwa watazamaji na wasikilizaji ambazo zitawanufaisha. Mhe. Bashungwa ametoa kauli hiyo leo Disemba 2, 2021  jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza katika hafla fupi